Get Mystery Box with random crypto!

Smartcalii

Logo saluran telegram smartcalii — Smartcalii S
Logo saluran telegram smartcalii — Smartcalii
Alamat saluran: @smartcalii
Kategori: Tidak terkategori
Bahasa: Bahasa Indonesia
Pelanggan: 3.13K
Deskripsi dari saluran

This is Official Smartcalii Telegram Channel | Be Informed, Engaged & Entertained 📍✅ LINK UP https://linktr.ee/Smartcalii

Ratings & Reviews

2.50

2 reviews

Reviews can be left only by registered users. All reviews are moderated by admins.

5 stars

0

4 stars

0

3 stars

1

2 stars

1

1 stars

0


Pesan-pesan terbaru 2

2023-05-10 09:01:27
MECHI KALI LEO MEI 10, 2023

#CAFCC
16:00 Young Africans Marumo Gallants
19:00 Asec Mimosas USM Alger

#UCL
22:00 Ac Milan Inter
313 viewsSmartcalii Approved, 06:01
Buka / Bagaimana
2023-05-10 08:51:07
Unahisi kwanini Joti haongeleki sana akivaa uhusika wa kike kama ilivyokuwa Dullvani?
307 viewsSmartcalii Approved, 05:51
Buka / Bagaimana
2023-05-10 08:49:24
Huyu hapa Mpenzi mpya wa Harmonize kutoka Rwanda
298 viewsSmartcalii Approved, 05:49
Buka / Bagaimana
2023-05-10 08:25:52
Leo kwa Mkapa inaenda kuandikwa Historia Mpya. Marumo Gallants inaenda kuwa Timu ya Kwanza ya Kimataifa itakayo fungwa goli nyingi zaidi Kwenye Uwanja huu. Kwa Udogo wa timu hii ya Marumo, timu inayokaribia Kushuka daraja kwenye ligi yao siioni ikipata hata Shot on target moja.
290 viewsSmartcalii Approved, 05:25
Buka / Bagaimana
2023-05-10 08:22:00
Zari na kijiji chake (watoto wake) walipotoka kufurahia siku ya mapumnziko hapo jana.

Neno kwake
287 viewsSmartcalii Approved, 05:22
Buka / Bagaimana
2023-05-10 08:19:58
AUNGUA VIDOLE BAADA YA KUCHOMWA SINDANO YA UTI PHAMASI

Msusi anayefahamika kwa jina la Ester Mkombozi mkazi wa eneo la Kimandolu Jijini Arusha, anadai kuwa vidole vitano vya mkono wake wa kushoto vimeungua na kubadilika rangi baada ya kwenda kupata huduma ya kuchomwa Sindano ya kutibu UTI katika duka la dawa za binadamu Ngulelo Wilayani Arumeru.

Msusi huyo amesema anatarajiwa kukatwa vidole vya mkono wake kutokana na kuharibika vibaya.

Ester ambaye kwasasa anaendelea na matibabu katika Hosptali ya Rufaa ya Mount Meru mkoa wa Arusha, ameiambia GADI TV kuwa mnamo Machi 20, 2023 alihisi hali ya kutojisikia vizuri kiafya na kuamua kwenda kupata huduma katika Phamasi iliyopo eneo la Ngulelo Wilayani Arumeru, ambapo baada ya kufika na kupima na kuambiwa anaumwa ugonjwa wa UTI alichomwa sindano katika mkono huo ambayo aliambiwa niyakutibu ugonjwa huo, na hatimaye maumivu makali yalianza bila kukoma.
292 viewsSmartcalii Approved, edited  05:19
Buka / Bagaimana
2023-05-09 12:30:28
Lionel Messi atafanya mazoezi na Wachezaji wenzake wa PSG hii leo Jumanne na atakuwa sehemu ya timu itakayoikabili Ajaccio Jumamosi.

PSG ilifuta adhabu ya kusimamishwa kwa Messi baada ya kuomba msamaha kwa kukosa mazoezi wiki iliyopita, lakini bado atapigwa faini ya mishahara ya wiki mbili (€ 1.6 milioni) sawa na Tshs. Bilioni 4.1

➪Chanzo: ESPN
406 viewsSmartcalii Approved, 09:30
Buka / Bagaimana
2023-05-09 12:18:37
Pichani ni mwanamke kichaa(wazimu) ambaye amejifungua watoto mapacha wakike na kiume.

Wananchi wanasema wakati alipokua na mimba alikuwa akila cabbage na matunda machafu yaliyotupwa dampo, hakuwa na msada wa mtu yoyote wa familia yake au mwanaume aliyempa mimba.

Mpaka siku anajifungua hakusaidiwa na daktari wala mkunga yoyote ila MUNGU PEKEE NDIO ALISIMAMA KATIKA KILA HITAJI LA UYO KICHAA.
400 viewsSmartcalii Approved, 09:18
Buka / Bagaimana