Get Mystery Box with random crypto!

​​Nimeumia sana. Kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na mahakama | Wenye Nchi Wananchi

​​Nimeumia sana. Kwa mujibu wa orodha iliyotolewa na mahakama April, kesi ya George Sanga na wenzake ilipaswa kuanza kusikilizwa tarehe 15 mwezi huu. Lakini bila sababu kesi yao imeondolewa kwenye orodha ya kesi zitakazoanza kusikilizwa. Hivyo akina George wataendelea kusota Jela.

-- MDUDE