Get Mystery Box with random crypto!

Shauri la diaspora la Uraia na haki ya kuzalizwa litakua Juman | Wenye Nchi Wananchi

Shauri la diaspora la Uraia na haki ya kuzalizwa litakua Jumanne, May 2, 2023. Siku hii mapingamizi yafuatayo yanaenda kujadiliwa:

1. Kwamba hatukuweka saini zetu katika Hati ya Madai [originating Summons].

2. Kwamba Madai yetu yamekiuka masharti ya kifungu cha 4 cha sheria ya Basic Rights and Duties Enforcement Act [ambayo ndiyo hutumika kunapofunguliwa mashauri ya Kikatiba kama hili letu].

3. Kwamba viapo vimeapwa nje ya Tanzania lakini vimeshuhudiwa [attested] na Wakili wa Tanzania.